Tuesday 11 February 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: RIBERY ATAKOSA MECHI YA KWANZA DHIDI YA ARSENAL


Frank Ribery ambaye anachezea Bayern Munich kama midfielder atakosa mechi ya kwanza dhidi ya Arsenal kutokana na kufanyiwa operation ya tako...Zimebakia timu 16 tu ambazo zinawania ubingwa huo...Arsenal watapambana na Bayern uwanja wa Emirates tarehe 19 February na kurudiana tena tarehe 11 March...

No comments:

Post a Comment