Tuesday 4 February 2014

EPL: JOSE AIZAMISHA MAN CITY


Hatimaye Jose Mourinho amefanikiwa kuisimamisha timu ya Manchester City jana usiku kwa kuwachapa 1 - 0...Hii ni mara ya kwanza msimu huu Manchester City kuchapwa kwao...Pia ni mara ya kwanza Mancherster City wameshindwa kufunga kwao toka Novemba 2010...

Vijana wa Jose waliamua kucheza mpira wa ukweli na kuwashangaza Man City kwa counter attacks za nguvu na goli la Ivanovic lilikuwa la halali kabisa...Chelsea waligonga mwamba mara tatu kwahiyo walitakiwa kushinda kwa magoli mengi zaidi...Bofya hapa upate mambo yalivyo kwenda...

No comments:

Post a Comment