Saturday 1 February 2014

EPL: ARSENAL YAMCHUKUA KIM KALLSTROM KWA MKOPO


Arsenal wamemaliza kusajili Kim Kallstrom kwa mkopo kutoka timu ya Urusi ya Spartak Moscow...Kim ni midfielder mzuri kutoka Sweden na atasaidia Arsenal kuziba pengo la Aaron Ramsey na Jack Wilshire ambao ni majeruhi...Wenger amesema dogo huyu 'ana uimara na umakini na amedhihirisha hiyo kwenye club na International level tunamkaribisha Arsenal'...Bofya upate habari zaidi za Kim...

No comments:

Post a Comment