Team Lotus jumamosi iliweza kutest gari lao jipya E22 lenye engine ya Renault huko Jerez...Waliweza kumalizia kilometer 100 chini ya dereva Pastor Maldonado ambaye ndio ameingia team Lotus msimu huu...Lotus sasa wamejipanga kupambana msimu huu kwa kupata gari na engine ya uhakika na wataakuwa na jaribio lingine huko Bahrain hivi karibuni...Bofya hapa upate habari zaidi za F1...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Tuesday, 11 February 2014
F1: LOTUS YAANZA VIZURI JARIBIO LA GARI LAO JIPYA
Team Lotus jumamosi iliweza kutest gari lao jipya E22 lenye engine ya Renault huko Jerez...Waliweza kumalizia kilometer 100 chini ya dereva Pastor Maldonado ambaye ndio ameingia team Lotus msimu huu...Lotus sasa wamejipanga kupambana msimu huu kwa kupata gari na engine ya uhakika na wataakuwa na jaribio lingine huko Bahrain hivi karibuni...Bofya hapa upate habari zaidi za F1...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment