Sunday 9 February 2014

EPL: ARSENAL YAIACHIA LIVERPOOL KUICHAPA


Arsenal jana jioni iliiachia Liverpool kutamba kwa kuwafunga 5-1 katika mechi kali ambayo ilikuwa ni mbio mwanzo mwisho...Liverpool mnamo dakika ya 1 na ushee tu walijipatia goli...Zilipofika dakika 19 tu Liverpool walikuwa wanaongoza na magoli 4...Hali ilikuwa yakushangaza kwani Liverpool ni vibonde wa Arsenal wa siku nyingi na haijawahi kutokea kupigwa magoli mengi mapema tena Anfdield...Washabiki wanasema mtaani labda waliuza mechi waka vuta fuba (pesa)...Arsene Wenger akubali matokeo...bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment