Thursday 6 February 2014

COPA DEL REY: REAL MADRID YAIFUNGA ATLETICO KWENYE NUSU FAINALI



Real Madrid iliweza kuifunga Atletico Madrid 3-0 kwenye mechi ya nusu fainali ya Copa Del Rey...Mechi ilikuwa na tension sana lakini Real ambao ndio walikuwa wenyeji walicheza vizuri sana na kuweza kuonyesha uwezo wao...


Uwezo huo ulionekana kutoka kwa dogo wa miaka 20 ambaye amekuzwa hapo, Jese, ambaye alikuwa hatari sana kwa Atletico na hatimaye kupata goli ambalo pasi ya akili kutoka kwa Di Maria ilisababisha...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment