Saturday 1 February 2014

EPL: CHELSEA WAMCHUKUA ZOUMA



Kurt Zouma amechukuliwa na Chelsea...Zouma ambaye anamiaka 19 kutoka St Etienne anacheza centre-back...Amekubali mkataba wa miaka mitano na the Blues lakini atabakia St Etienne kwa mkopo mpaka msimu huu utakapoisha...Alijiunga na St Etienne toka alipokuwa anamiaka 15 na pia anachezea France Under 21... Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment