Monday 3 February 2014

EPL: ARSENAL YAIKIMBIA CRYSTAL PALACE NA KURUDI KILELENI



Arsenal jana jioni iliikimbiza Crystal Palace na kuichapa 2-0...Oxlade-Chamberlain ndio aliofunga magoli yote...Siku ambayo amerudia kupangwa kama starter ameonyesha uwezo wake na unakini wa kufunga magoli na kuwa man of the match...Kipindi cha kwanza kiliisha bila goli lakini dakika ya 47 Chamberlain alipewa pasi nzuri na Carzola na kupachika wavuni...Dakika ya 73 akapachika cha pili baada ya gonga za akili za one-two na Olivier Giroud...Bofya upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment