Sunday 9 February 2014

EPL: HAZARD APATA HAT-TRICK


Eden Hazard aipeleka Chelsea juu ya premiership baada ya kupata hat-trick katika game dhidi ya New Castle jana...Jose alisema wao ni farasi katika kinyan'ganyiro cha ubingwa lakini kutokana na Arsenal kupoteza game dhidi ya Liverpool na Manchester City kushikwa shati na Norwich sasa inaonekana wanauwania ubingwa kama Arsenal na Man City...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment