Friday 7 February 2014

EPL: VIDIC KUONDOKA MAN U


Nemanja Vidic anayechezea position ya central defence ya Manchester United amesema ataondoka mwisho wa msimu... Vidic alinyakuliwa kutoka Spartak Moscow kwa kitita cha pound za Uingereza milioni 7 Decemba 25 2005... Amekaa na Manu U na kushinda vikombe 15 ambavyo anasema hakuamini kama angeweza kupata vikombe vyote hivyo...Ameamua kuendelea na mitihani mingine...

No comments:

Post a Comment