Sunday 2 February 2014

EPL: LIVERPPOOL YATANGAZA KIFO CHA TONY HATELEY



Kwa wale washabiki wa Liverpool wa siku nyingi wa Liverpool, kama mdau wa Max Sports William Laiser, watamkumbuka sana Tony Hateley...Liverpool ilitangaza kifo chake kwa masikitiko makubwa kupitia website yao na kusema club ya Liverpool imesikitika sana kwa kifo cha Tony Hateley, miaka 72...Tony Hateley alinyakuliwa na Liverpool kwa pound 96,000 mwaka 1967...Hiyo ilikuwa pesa nyingi sana wakati huo na ilikuwa rekodi kwa Liverpool kutumia pesa nyingi kumnyakua mchezaji...Alikaa Liverpool zaidi kidogo ya mwaka na kati ya games 56 alifunga mabao 28...Pia Hateley anamtoto ambaye aliwahi kuichezea England...

No comments:

Post a Comment