Monday 1 December 2014

WORLD ENDURANCE CHAMPIONSHIP RACE: MARK WEBBER ANAENDELEA VIZURI BAADA YA AJALI MBAYA SANA


Mark Webber aliyekuwa dereva wa magari ya Formula One kabla ya kuacha mwaka 2013 anendelea vizuri baada ya ajali mbaya sana iliyuhusisha magari 2...Ajali hiyo ilitoke kwenye mashindano ya magari ya kupima uwezo wa kuvumialia ambayo yana tumia masaa 6 huko Sao Paulo Brazil...

Webber alichanika sehemu nyingi na kichwa kilikuwa kinamuuma sana...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment