Monday 8 December 2014

LA LIGA: CRISTIANO RONALDO AVUNJA REKODI SPAIN


Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya mchezaji aliyefunga hat-tricks nyingi katika historia ya La Liga na pia amefikisha mabao 200 na mafanikio yote hayo yalifikiwa katika mechi dhidi ya Celta De Vigo...Real Madrid walishinda hiyo mechi 3-0 na mabao yote yalitoka kwa Ronaldo na sasa ana hat-trick 23 na bado anauwezo mkubwa wa kendeleza hii rekodi...


Bao la 1 lilikuwa na utata kwani Ronaldo alionekana kukwatuliwa kidogo kalini refa akatoa penalty dakika ya 36...


Ronaldo mwenye umri a miaka 29 alifikia rekodi iliyowekwa na wakongwe wa soka wa zamani Alfredo di Stefano aliyechezea Madrid na Telmo Zarra aliyechezea Atletico Bilbao...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment