Thursday 4 December 2014

EPL: CHELSEA KIBOKO YA TOTTENHAM



Chelsea wamefanya kweli kwenye mechi ambayo ilikuwa kali sana na yenye ufundi mkubwa...Tottenham walianza vizuri kwa kushambulia lango la Chelsea lankini beki ya Chelsea ilikuwa makini kupangua mashambulizi...Tottenham kupitia kwa Harry Kane aligonga mwamba na mara nyingine alikosa goli kwa kupaisha pembeni...


One-two ya Drogba na Hazard ilizaa goli la Hazard na Drogba na aijipatia bao baada ya Hugo Lloris kufanya makosa...Remy nae alimalizia na bao la 3 dakika ya 73...Chelsea sasa wako points 6 mbele ya wengine...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment