Thursday 4 December 2014

BASEBALL: MASHINDANO YA 2 YAKITAIFA KUFANYIKA DAR


Mchezo maarufu sana nchini Marekani wa baseball umepata nafasi ya kukua na kupata wafuasi na mashabiki wengi na sasa michuano ya 2 ya kitaifa yatafayika jijini Dar es Salam...Mashindano haya ya baseball yatafanyika katika viwanja vya shule ya sekondari ya Azania na yatahusisha shule 5 za sekondari...Mashindano haya pia yatachagua wachezaji ambao watatuwakilisha kwenye mashindano makubwa ya U-17 huko Meru Kenya kuanzia December 15-20...Bofya hapa upate habari zaidi

No comments:

Post a Comment