Wednesday 10 December 2014

CHAMPIONS LEAGUE: LIVERPOOL YATOLEWA


Liverpool imetolewa nje ya Champions League baada ya kutoka sare na FC Basel 1-1...Liverpool walitakiwa washinde hiyo game lakini haikuwezekana...Steve Gerrard alijijithidi sana na akafanikiwa kusawazisha dakika ya 81 bado haikutosha kuwapeleka kwenye round ya mtoano...Liverpool walishinda mechi 1 kati ya 6 kwenye Group B sasa inabidi wajipange kweli kweli mwakani waweze kurudia hali yao ya zamani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment