Saturday 6 December 2014

EPL: UKARABATI WA KUONGEZA UWANJA WA ANFIELD KUANZA JUMATATU


Mambo yote yanayohusu upanuzi wa uwanja wa Anfield sasa yanaenda vizuri...Anfield inaanza kupanuliwa kuanzia jumatatu na uwanja utaweza kuchukua watu 59,000...The Kop sasa unachukua mashabiki 45,500 tu na gharama za kupanua uwanja huo ni milioni 100 pounds...Liverpool wanategemea kazi hiyo ya kupanua uwanja itafanyika vizuri na wanategemea kuanza kutumia uwanja mpya ifikapo msimu wa 2016-2017...


Kipato kitaongezeka sana na itaisaidia timu kufanya mambo mengi ya ziada...Mmiliki wa the Kop John W Henry alikuja Liverpool kuangalia maendeleo ya upanuzi na kuangalia kama wanaweza wakauza umiliki wa jina kwenye uwanja huo mpya...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment