Wednesday 3 December 2014

EPL: LIVERPOOL YAIBUKA NA USHINDI


Liverpool imekaa nafasi ya 8 sasa kutokana na ushindi wake dhidi ya Leicester City...Leicester walikuwa mbele dakika ya 22 baada ya mpira kugonga mwamba na kugonga nyuma ya kichwa cha Simon Mignolet...Goli la 1 la Liverpool lilitoka kwa Adam Lallana na la 2 kutoka kwa Steve Gerrard na la 3 kutoka kwa Henderson dakika ya 83...Ni mara ya kwanza kati ya mechi 7 Gerrard anawafunga Leicester...Leicester sasa ni wapili mkiani na wana point 2 tu zakuwatoka chini...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment