Thursday 11 December 2014

NBA: KOBE NA WENZAKE WAVAA T-SHIRT A 'I CAN'T BREATHE'


Kobe Bryant na karibu timu nzima ya Lakers ilivaa t-shirt ilioandikwa 'I CAN'T BREATHE' kabla ya game yao dhidi ya Sacramento Kings game ambayo walishinda 98-95...Hizo t-shirt zinatetea haki sawa na zinapinga  ubaguzi wa rangi unaofanywa na baadhi ya police huko Marekani...Maneno hayo 'I can't Breathe' yalitolewa na kijana mmoja ambae ni marehemu sasa wakati anapigwa kabali na police wakati wanataka kumkamata...Bofya hapa upate habari zaidi.

1 comment:

  1. I respect this article for the all around scrutinized content and superb wording. I got so included in this material that I couldn't quit perusing. I am inspired with your work and expertise. Much thanks to you to such an extent. kobe jersey for sale

    ReplyDelete