Tuesday 2 December 2014

FIFA: LIST YA BALLON D'OR IMETOKA


List ya wachezaji bora wa 3 wa soccer duniani imetolewa na Fifa...Kati ya watu 23 waliokuwa wanawania nafasi hiyo sasa Fifa imetoa majina 3... Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Manuel Neuer kwa upande wa wanaume na kwa upande wa wanawake Nadine Kessler kutoka Germany, Marta kutoka Brazil na Abby Wambach kutoka USA...Mshindi atatangawa tarehe 12 mwezi January 2015...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment