Monday 1 December 2014

ICC AFRICA U-19: RWANDA YATAJA KIKOSI CHAKE


Michuano ya kimataifa ya Cricket ya wanawake ambayo yatafanyika jijini Dar es Salaam kuanzia December 7 mpaka 9 tayari timu zimeshaanza kutoa majina ya vikosi vyao...Rwanda wamesema wako tayari kupambana na hawataki kushika nafasi ya 4 tena...Gazeti la New Times limesema kocha, Joshu Mwanja, amewapa mazoezi makali kwa miezi 2 na sasa amechagua kikosi cha mwisho cha kuppambana kwenye michuano hiyo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment