Sunday 7 December 2014

INTERNATIONAL FRIENDLY: YANGA YAILAZA EXPRESS


Dar es Salaam Young Africans vijana wa Jangwani wameilaza Express ya Uganda bao 1-0 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...Katika mechi hiyo safi yakimatifa na yakirafiki iliona substitute Hamis Kiiza akipachika bao kipindi cha 2...Mechi hii ilikuwa ni pamoja na kujitayarisha kupambana na mtani wa jadi Simba SC jumamosi ijayo katika uwanja huo huo wa Taifa kutafuta nani 'Mtani Jembe'...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment