Sunday 7 December 2014

NBA: DERRICK ROSE AONYESHA MSOMAMO WAKE KUHUSU MAREHEMU ERICK GARNER


Derrick Rose wa Chicago Bulls ameonyesha msomamo wake katika maandamano yanayoendelea huko marekani kutokana na ubaguzi wa rangi hasa kutoka kwa polisi...Rose alivaa t-shirt nyeusi kabla ya game dhidi ya Warriors ilioandikwa 'I can't Breathe' yaani 'Siwezi kupumua' maneno ambayo dogo mmoja marehemu aliyefariki mikononi mwa polisi wakati wanataka kumkamata aliyatamka...Kumekuwa na uonevu kutoka kwa baadhi ya polisi dhidi ya watu weusi huko Marekani na sasa kuna maandamano nchi nzima kutaka usawa katika suala la ubaguzi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment