Sunday 7 December 2014

EPL: MOURINHO BADO KIBONDE WA NEWCASTLE



Jose Mourinho bado anakuna kichwa jinsi gani anaweza kuwachapa Newcastle...Chelsea jana walisimamishwa na Newcastle katika game yao ya 23 ya ushindi wa mfululizo...Chelsea walichapwa 2-1 na Cisse ndiye aliyehusika na magoli yote...Cisse alipachika bao dakika ya 57 na Sissoko akamseti Cisse akapachika bao la 2 dakika ya 78...


Drogba dakika ya 83 aliiptia Chelsea bao la kufuta machozi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment