Sunday 14 December 2014

BOXING: AMIR KHAN AMTWANGA DEVON ALEXANDER


Boxer machachari na mwenye vituko sana anayetoka Uingereza Amir Khan ameshinda pambano lake la kutetea mkanda WBC Silver welterweight dhidi ya Devon Alexander huko Las Vegas Marekani...


Amir Khan aliweza kupambana vizuri mpaka round ya 8 na badae Devon aliamka na kumpelekea makonnde Khana lakini mpaka mwisho majaji wote walimpa ushindi Amir Khan...Khan amesema sasa yuko tayari kupambana na bingwa wa dunia Floyd Mayweather...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment