Monday 15 December 2014

NBA: KOBE BRYANT AWEKA HISTORIA AMPITA MICHAEL JORDAN


Kobe Bryant mwenye umri wa miaka 36 ameweka historia kwa kumpita Michael Jordan na kuwa wa 3 katika NBA kuwa na points nyingi toka ligi anzishwe...Kobe sasa yuko nyuma ya Karl Malone na Kareem Abdul-Jabbar...Kobe alimpita Jordan kwenye game dhidi ya Minnesota Timberwolves alipokuwa anarusha free throws...


Baada ya hapo wachezaji wote walimpa mkono wa pongezi na game ikasimamishwa akapongezwa na kupewa mpira wa ukumbusho huku mashabiki wote wakisimama na kumpigia makofi Kobe...Nike ambao ndio wadhanini wa Jordan na Kobe wamesema wanatoa kiatu kipya kabisa cha Kobe na kitaitwa 'Mamba Moment' na kitaingia sokoni kwa dola 245 tu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment