Monday, 18 May 2015

WELLS FARGO CHAMPIONSHIP: RORY AVUNJA REKODI NA KUSHINDA


Namba 1 duniani kwenye mchezo wa Golf Rory Mcilroy ameshinda michuano ya Wells Fargo kwa mikwaju 7 mbele ya wenzake na kuweka rekodi ya score ya 267...Bofya hapa upate habari zaidi.

LA LIGA: BARCELONA MABINGWA


Lionel Messi aipa ubingwa FC Barcelona baada ya kufunga bao pekee kwenye mechi dhidi ya Atletico Madrid jana usiku...Messi alipiga bao lake la 41 la msimu dakika ya 65 na kuipa Barcelona ushindi wa 23 wa kombe la La Liga...Barca wako pointi 4 mbele ya Real Madrid na bado wana mechi moja ya kiporo...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 17 May 2015

EPL: STEVEN GERRARD AAGWA NA MASHABIKI WA THE KOP


Captain wa Liverpool na Legend kwenye timu ya Liverpool Steven Gerrard ameagwa rasmi kwenye uwanja wa Anfield...Gerrard akiingia uwanjani na watoto wake watatu alishangiliwa sana na mashabiki wa the Kop na kupewa gwaride la heshima na timu zote mbili...


Steve Gerrard ni mchezaji aliyekulia kwenye club miaka 25...Gerrard alisema kweli "You'll never walk alone" akihojiwa na waandishi wa habari huku akishukuru hasa mashabiki wa Kop na uongozi wote wa club ya Liverpool huku akishangiliwa sana na mashabiki wakilitaja jina lake...


Gerrard aliingia Liverpool akiwa na miaka 9 na alifanikiwa kufunga mabao 185 kati ya mechi 709 alizocheza...Gerrard anaondoka Liverpool kwenda kucheza Marekani kwenye timu ya L.A Galaxy...


Gerrard amekuwa Captain toka 2003 nafasi aliyoishikilia kwa miaka 12...Bofya hapa upate habari zaidi.


Friday, 15 May 2015

F1: MAFUTA KUONGEZWA KATIKATI YA MASHINDANO MSIMU WA 2017


Mabosi wa formula one akiwemo Rais wa FIA Jean Todt na Bernie Ecclestone pamoja na maboss wa timu za Ferrari, McLaren, Mercedes, Red Bull, Williams na Force India wamekubali kuchangamsha mashindano kwa kurudisha tena uongezaji mafuta wakati wa mashindano na pia wamekubali magari yawe na kelele zaidi ili yaweze kwenda mbio zaidi...

EUROPA CUP 2015: SEVILLA NA DNIRPO NDAI YA FAINALI


Dnipro itakutana na wakali kwenye fainali za Europa 2015...Dnipro iliichapa Napoli bao 1 na kuongoza aggregate ya 2-1...Timu ya Rafael Benitez Napoli walishinda game 10 mfululizo mpaka walivyosimamishwa na Dnipro na sasa Dnipro itaingia fainali na Sevilla ambao waliichapa Fiorentina mabao 2-0 na aggragate ya 5-0 huko Italy...Fainali itachezewa  Warsaw May 27...Usikose fainali kali sana....Bofya hapa upae habari zaidi.

Thursday, 14 May 2015

TFF: SQUAD YA COSAFA CUP YATAJWA


Squad ya watu 20 tayari kwa COSAFA Cup huko South Africa iko tayari...Michuano hiyo ya COSAFA inategemewa kuanza May 17 mpaka May 31...Timu hiyo ya Tanzania itaongoza na afisa wa TFF bwana Ephaphra Swai na wanatarajiwa uwanjani Jumatatu kuchuana na Swaziland alafu siku 2 badae kucheza na Madagascar...Wachezaji kama wa 5 wameachwa kutokana na kutofikia vigezo muhimu hasa afya na mambo mengine...Mmoja aliyeachwa ni Nadir Haroub...Squad ya Tanzania ni kama ilivyo hapo chini;

Deogratius Munishi (Yanga) and Mwadini Ali (Azam). Defenders: Shomari Kapombe, Aggrey Morris, Erasto Nyoni (Azam), Oscar Joshua, Kelvin Yondani (Yanga), Abdi Banda (Simba), Salim Mbonde (Mtibwa Sugar) and Haji Mwinyi (KMKM). Midfielders: Salum Abubakar, Frank Domayo (Azam), Said Juma, Salum Telela, Hassan Dilunga (Yanga), Said Ndemla (Simba) and Mwinyi Kazimoto (Al Markhira). Strikers: Ibrahim Ajib (Simba), Mrisho Ngassa, Simon Msuva (Yanga), John Bocco (Azam) and Juma Luizio (Zesco United).

Bofya hapa upate habari zaidi.

RIADHA: TIMU YA MAREKANI YAVULIWA MEDANI ZA 2012


Timu ya riadha ya Marekani ya 2012 ya London Olympics imevuliwa medani zake kutokana na mmoja wao kupatikana na hatia ya kutumua dawa za kuongeza nguvu...Tyson Gay alikutwa na hatia ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu na alirudisha medani yake lakini Kamati ya Olympic ya Kimataifa imesema wote kwenye timu hiyo lazima warudishe medani zao...Kwenye timu hiyo alikuwemo Trell Kimmons, Justin Gatlin, Ryan Bailey, Jeffrey Demps na Darvis Patton...Bofya hapa upate habari zaidi.

CHAMPIONS LEAGUE: JUVE NDANI YA FAINALI NA BARCA


Alvaro Morata aipeleka timu yake ya Juventus kwenye fainali ya Champions League toka 2003...Morata aliifunga timu yake ya zamani ya Real Madrid bao safi dakika ya 57 lakini alikataa  kushangilia bao lake...Wadau wengi walitabiri 'El Clasico' ya kwanza kabla Casillas kufungwa na Morata...


Real walichapwa mechi ya kwanza 2-1 na wakasawazisha kwenye mechi ya pili kupitia penalty aliyofunga Cristiano Ronaldo dakika ya 23 lakini Morata akaiweka Juve mbele kipindi cha 2...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 11 May 2015

MADRID MASTERS 2015: ANDY MURRAY AMEMGARAGAZA RAFA NA KUNYAKUA UBINGWA MADRID


Andy Murray amchapa Rafael Nadal kwa mara ya kwanza kwenye court ya mfinyanzi...Rafa alichapwa 6-3 6-2 mbele ya umati mkubwa ambao haukutegemea Rafa kufungwa nyumbani kwenye mfinyanzi...Murray amenyakua kwa mara ya kwanza Masters yake kwenye court ya mfinyanzi na sasa anataka kukutana na Rafa kwenye michuano ya Roland Garros...Bofya hapa upate habari zaidi.

TFF: TANZANIA ITAKUWA MWENYEJI WA KAGAME CUP


Shirikisho la Soka Tanzania TFF  limekubali kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Kagame mwaka huu...CECAFA Kagame Cup itafanyika Tanzania na TFF sasa watatoa mwaliko kwa timu zote ambazo zinastahili kucheza...Baada ya kupata uhakika nani atacheza ndipo TFF wataandaa list ya watakao cheza na ratiba rasmi na kuitoa kwenye vyombo vya habari na kwa wadau...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 9 May 2015

NBA: DERRICK ROSE AZAMISHA BASKET SEKUNDE YA MWISHO


Derrick Rose aipa ushindi Chicago Bulls kwenye game ya 3 ya nusu fainali ya michuano ya playoffs...Rose alizamisha basket sekunde ya mwisho kabla ya kengele na kuipa timu yake ushindi wa 99-96 katika game kali sana dhidi ya Cleveland Cavaliers ndani ya uwanja wa Bulls...Game ilikuwa na tension wakati Noah na LeBron walitaka kuzichapa baada ya kurushiana maneno...Sasa Bulls inaongoza series za Eastern Conference 2-1...Bofya hapa upate habari zaidi.

BOXING: WBA WACHUKUA MKANDA WAO KUTOKA KWA FROCH


Carl Froch amepoteza mkada wa super-middleweight kutokana na kushindwa kutetea mkanda huo...Boxer Froch ambae anatokea Uingereza pia aliachia mkanda wa IBF...Froch alishindwa kuzichaa na Julio Chavez Jr mwezi wa 3 kutokana na mattatizo ya mkono...Promota wa Froch, Eddy Hearn, amesema boxer anadhani boxer huyo hato zichapa tena...Bofya hapa upate habari zaidi.

Friday, 8 May 2015

MANCHESTER UNITED: MDACHI FORWARD MEMPHIS DEPAY KUTUA OLD TRAFFORD


Manchester United wanamchukua forward wa PSV Eindhoven Memphis Depay...Depay atatia timu Old Trafford akimaliza uchunguzi wa daktari na dirisha la usajili likifunguliwa mwezi wa sita...Man U wamemchukua kwa bei kati ya pounds milioni 25 na 30 na atakaa mpaka 2019...Depay mwenye umri wa miaka 21 amewafungia PSV mabao 21 msimu huu na PSV walinyakua kombe la ligi ya wadachi...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 6 May 2015

NBA: STEPHEN CURRY POKEA TUZO YA MVP


Stephen Curry wa Golden State Warriors amekabidhiwa kombe lake la MVP (Most Valuable Player) mbele ya mashabiki wake wa Warriors kabla Game 2 ya nusu fainali ya western conference playoffs...Boss wa NBA  Commissioner Adam Silver alimkabidhi Stephen Curry kombe mbele ya mashabiki wanaliokuwa wanashangilia sana...James Harden wa Huston Rockets alishika nafasi ya 2...Bofya hapa upate habari zaidi.


ARSENAL: TAJIRI ALIKO DANGOTE ANATAKA KUNUNUA ARSENAL


Billionaire anayetoka Nigeria Aliko Dangote amesema anataka kuinunua timu ya Uingereza ya Arsenal...Dangote alisema hayo alipoongea na Bloomberg kampuni inayotoa taarifa za masoko na uwekezaji...Alisema kama bei itakuwa safi atanunua timu hiyo ya north London...Dangote alijaribu kununua Arsenal mwaka 2010 lakini akabadilisha mawazo na sasa anasema bei ikiwa safi atanunua...Bloomberg Billionaire Index inasema Dangote anautajiri wa bilioni 15.7 na ni tajiri kuliko wote Afrika na tajiri kuliko watu wote wenye asilia ya Afrika...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 5 May 2015

WORLD SNOOKER CHAMPIONSHIP: BINGHAM AMFUNGA MURPHY NA KUCHUKUA KOMBE


Stuart Bingham amemchapa 18-15 Shaun Murphy kwenye fainali kali sana ya mashindano ya dunia ya snooker...Kuna wakati waliuwa 15-15 akawa anafikiria kutoa hotuba ya mshindi wa 2 lakini dakika ya 64 mambo yakabadilika na kuwa frame 16-15...Bingham mwenye umri wa miaka 38 amekuwa mshindi na bingwa katika umri mkubwa toka Ray Reardon ashinde mwaka 1978 akiwa na umri wa miaka 48...


Bingham amezawadiwa pound laki 3 na atakuw wa 2 duniani kutok namba 10...Bofya hapa upate habari zaidi.

Sunday, 3 May 2015

BOXING: FLOYD MAYWEATHER ASHINDA PAMBANO LA BEI MBAYA


Floyd "Money" Mayweather ameweka historia tena kwenye pambano la kuunganisha mikanda dhidi ya Manny "Pac-Man" Pacqiao ndani ya MGM Grand...


Pambano hili ambalo lilikuwa lenye gharama kubwa kuliko mapambano yote lilishuhudiwa na watu wengi sana duniani na lilikuwa linasubiriwa kwa hamu sana na wadau wa boxing duniani....


Mayweather ameshinda pambano na majaji wote walimpa points zakutosha ingawa Manny nae alizichapa sana na kumpa Mayweather shida karibu round zote...Bofya hapa upate habari zaidi.

Saturday, 2 May 2015

BELGIUM FOOTBALL ASSOCIATION: GREGORY MERTENS AANGUKA UWANJANI NA KUFARIKI SIKU CHACHE BAADAE


Ex-U 21 wa Belgium Gregory Mertens amefariki dunia...Mertens alianguka uwanjani Jumatatu kutokana na tizo la moyo na baadae kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi...Hali iliendelea kuwa tete na toka aingie hospitali alikuwa anatumia mashine ya kupumua mpaka familia yake ilipomua kuizima hiyo mashine jana...


Mchezaji wa zamani wa Bolton Fabrice Muamba ambae nae aliwahi kupata matatizo ya moyo katikati ya game dhidi ya Tottenham amesikitika sana kwa tweet yake hapo chini...


Romelu Lukaku Belgium na Everton forward amesikitika na kusema Mertens ameondoka mapema na apumzike kwa amani...Shirikisho la soka la Belgium limesema mechi zote za Ijumaa zitaanza na dakika moja ya kuomboleza kifo cha Mertens...Mertens alikuwa na miaka 24 mauti yalipomfikia...Max Sports na wadau tunamuombea apumzike kwa amani...Bofya hapa upate habari zaidi.

Friday, 1 May 2015

EPL: RATIBA YA MECHI ZINAZOKUJA (GMT)

SAT 2 MAY 2015 - PREMIER LEAGUE
SUN 3 MAY 2015 - PREMIER LEAGUE
  • ChelseavCrystal Palace13:30
  • TottenhamvMan City16:00
MON 4 MAY 2015 - PREMIER LEAGUE
  • HullvArsenal20:00
SAT 9 MAY 2015 - PREMIER LEAGUE
  • EvertonvSunderland12:45
  • Aston VillavWest Ham15:00

PANAMA: MCHEZAJI WA ZAMANI WA COLOMBIA FREDDY RINCON ATAFUTWA NA INTERPOL


Freddy Rincon mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Colombia anatafutwa na polisi wa Panama kuhusiana na usafishaji pesa chafu na mambo ya madawa ya kulevya...


Rincon wa 3 kutoka kulia waliosimama
Rincon ameichezea timu ya taifa ya Colombia toka 1990-2001 na kati ya mechi 84 alizocheza alipata mabao 17...Rincon ndie aliyefunga bao dhidi ya Ujerumani huko Milan tarehe 19 June kwenye World Cup ya 1990 ...Bofya hapa upate habari zaidi.

Thursday, 30 April 2015

PROFESSIONAL FOOTBALLERS' ASSOCIATION: EDEN HAZARD AFURAHIA KUWA MCHEZAJI BORA


Eden Hazard amefurahi sana kushinda tuzo ya PFA ya mchezaji bora 2014-2015 ambapo mwaka jana alishinda mchezaji bora kijana wa mwaka...Harry Kane alikuwa mshindi wa 2 na David de Gea mshindi wa 3...Tuzo hiyo ya PFA inahusisha wachezaji wenyewe kuchagua wachezaji bora kwahiyo Hazard amefurahi kupata tuzo hiyo yenye heshima ya aina yake...Hary Kane alishinda tuzo hiyo ya PFA upande wa mchezaji bora kijana...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 29 April 2015

EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Chelsea333977
No movement2Man City343467
No movement3Arsenal333167
No movement4Man Utd342565
No movement5Liverpool341058
No movement6Tottenham34658
No movement7Southampton342157
No movement8Swansea34-350
No movement9Stoke34-347
No movement10Everton34144
No movement11West Ham34044
No movement12Crystal Palace34-542
No movement13West Brom34-1437
No movement14Newcastle34-2135
Moving up15Hull34-1334
Moving down16Aston Villa34-2232
No movement17Leicester33-1631
No movement18Sunderland33-2330
No movement19QPR34-2127
No movement20Burnley34-2626