Thursday, 16 January 2014

FA: MAN CITY YAENDELEA KUONGEZA MAGOLI



Man City jana iliendelea kukusanya magoli baada ya kuichapa Blackburn Rovers mabao 5 kwa mtungi kwenye mechi ya FA ambayo sasa inaiona Man City ikiingia roundi ya 4 sasa...Mabao yalitoka kwa Negredo ambaye alipachika mawili pia Dzeko nae alipachika mawili na Aguero alipachika moja...Sergio ndio amerudi baada ya kuumia...Bofya hapa kwa habari zaidi...

AUSTRALIAN OPEN: MICHEZO YASIMAMISHWA KUTOKANA NA JOTO KALI


Michezo ya Tennis ilisimamishwa jana kutokana na jua kali sana huko Melbourne Australia...Joto lilkizidi sana na kufikia Celsius 42.2 na kulazimisha waandaaji wa michezo hiyo kusimamisha mechi zote kwenye courts ambazo ziko wazi mpaka joto lipungue...Mdada mmoja ambaye ni mchezaji mkali sana Alize Cornet alibaki analia baada ya kupumzika kati ya mechi yake dhidi ya Camila Giorgi...Mchezaji mwingine Frank Dancevic kutoka Canada alizimia juzi na kupatiwa huduma ya kwanza...

DAKAR RALLY: STEPHANE PETERHANSEL AKARIBIA USHINDI


Stephane Peterhansel akichanja mbuga huko pwani ya Chile karibu anamfikia Nani Roma kwenye stage ya 11 ya mashindano hayo...Sasa wanapishana dakika mbili tu na baada ya siku moja tu alipunguza dakika 11 na sasa zimebakia kilometa 1,100 tu mashindano hayo yaishe...Bingwa wa 2010 Carlos Sainz aliaga hayo mashindano kwa kupata ajali..

Tuesday, 14 January 2014

AUSTRALIAN OPEN: ANDY MURRY AMSHINDA GO SOEDA


Andy Murry (No. 4 Duniani) akicheza tennis kwenye joto kali alichukua dakika 87 tu kumchapa Go Soeda kutoka Japan 6-1 6-1 6-3...Murry sasa ameingia round ya pili ya michuano hiyo mikali huko Melbourne Ausralia...Mechi ijayo sasa atacheza na mfaransa Vincent Millot kwenye round ya pili...Murry ana kazi kwasababu lazima akutane na wakali wote wanne wa tennis na awachape ili aweze kushinda huko Melbourne...Pata habari zaidi hapa...

EPL: ARSENAL YARUDI KILELENI


Arsenal jana usiku ilishinda mechi yake dhidi ya Aston Villa 2-1 na kurudi tena kuongoza premier league...

FIFA: CRISTIANO RONALDO ASHINDA BALLON d'Or


Cristiano Ronaldo jana usiku alishida tuzo ya FIFA ya Ballon d'Or mwanasoka bora duniani...Ronaldo alimshinda Lionel Messi na Frank Ribery na kuchukua heshima hiyo...Mara ya mwisho Ronaldo kushinda hiyo tuzo ilikuwa 2008 wakati Messi alishinda mara nne mfululizo kabla ya mwaka huu...Ronaldo aliwashukuru wachezaji wa timu yake na timu ya taifa...Mwaka jana Ronaldo alifunga mabao 66 kati ya mechi 56 akichezea club yake na timu ya taifa...


  • Ballon d'Or: Cristiano Ronaldo
  • Women's world player: Nadine Angerer
  • Male coach: Jupp Heynckes
  • Female coach: Silvia Neid
  • Ballon d'Or Prix d'Honneur: Pele
  • Puskas goal award: Zlatan Ibrahimovic (Sweden v England)
  • Fifa Presidential Award: Jacques Rogge
  • Fair Play Award: Afghanistan Football Federation

Bofya hapa upate habari zaidi...

Monday, 13 January 2014

BOXING: ROY JONES JR ASEMA KHAN ATAMSUMBUA MAYWEATHER



Roy Jones Jr. amesema Amir Khan ni boxer mzuri na akizichapa na Mayweather atamsumbua kwasababu anaweza kutoka kwenye situation nzito na kubox vizuri...Kama wakikutana May 3 Jones anaona Khana atafanya pambano liwe la kusisimua kutokana na style ya Khan ya kuzichapa na pia urefu utamsaidia...Lakini pia alisema Mayweather ni mzuri zaidi na ananguvu zaidi...

Tatizo moja Jones Jr anasahau ni kwamba Khan ni mbishi na ni kazi kumruddisha katika form yake ya kubox ya awali...Khan kafulia kiaina sasa na anabahati kupambana na bingwa...Welterweight contender Kell Brook kutoka Uingereza pia anasema Khana hana chance ya kushinda dhidi ya bingwa wa dunia Floyd Mayweather...Acha tu tusubiri pambano hilo...

CHAN 2014: MALI YAISHANGAZA NIGERIA


Mali jana iliichapa Nigeria 2-1 kwenye mechi za mataifa ya Afrika zinazoendelea huko Cape Town South Africa...Mali ambayo iko Group A imeanza vizuri baada ya Abdoulaye Sissoko na Adama Traore (pichani)...Baada ya Mali kurarua defence ya Nigeria Sissoko alipiga mkwaju na kupachika bao la kwana na pia baada dakika chache Nigeria walikoswa mara mbili...dakika ya 50 Traore alipiga tobo goal keeper ya Nigeria Chigozie Agbim na kupachika bao la 2...Bofya upate habari zaidi...

EPL: MATOKEO YA MECHI ZA WEEKEND

Sunday, January 12, 2014
StatusHomeScoreAwayVenue
FT Newcastle United 0-2 Manchester City St James' Park (49,423)
FT Stoke City 3-5 Liverpool Britannia Stadium (27,160)
Saturday, January 11, 2014
StatusHomeScoreAwayVenue
FT Hull City 0-2 Chelsea The KC Stadium (24,924)
FT Cardiff City 0-2 West Ham United Cardiff City Stadium (27,750)
FT Everton 2-0 Norwich City Goodison Park (36,827)
FT Fulham 1-4 Sunderland Craven Cottage (25,564)
FT Southampton 1-0 West Bromwich Albion St. Mary's Stadium (28,610)
FT Tottenham Hotspur 2-0 Crystal Palace White Hart Lane (36,102)
FT Manchester United 2-0 Swansea City Old Trafford (75,035)

EPL: LIVERPOOL YAIZAMISHA STOKE CITY


Liverpool jana iliigaragaza Stoke City mabao 5 kwa 3 katika uwanja wa Stoke...Liverpool pia ameweka rekodi ya kuifunga Stoke City kwao kwa mara ya kwanza...Suarez alipata mabao 2 (32', 71'), Geraard alifunga penalty (51')  na Sturridge (87') na pia kulikuwa na own goal dakika ya 5...

England international Sturridge alikuwa hajacheza toka Novemba na akaingizwa dakika ya 66 na baada ya dakika 5 alimsaidia Suarez kupachika bao...Sasa Liverpool wako pointi 5 chini ya Manchester City ambao wanaongoza ligi sasa...Bofya hapa upate habari zaidi...

Sunday, 12 January 2014

NFL: PATRIOTS YAIKIMBIZA COLTS


New England Patriots waliikimbiza Colts na kushinda game yao 43-22...Wakisaidiwa na RB (Running Back), LeGarrette, ambaye alipata TD (Touchdown) nne ambazo zilitokana na kukimbia takriban yadi 166...


Alisema "wakinikimbiza kwenye uwazi huwa hawanipati"...Pia Andrew Luck aliwasaidia aliporusha interception nne...Bofya hapa kwa habari zaidi za hii game..



CHAN 2014: SOUTH AFRICA YAANZA VYEMA


South Africa ilianza vyema mashindano ya mataifa ya Africa huko Cape Town, South Africa, jana jioni...Hlompho Kekana aliisaidia South Africa kuichapa Msumbiji mabao 3-1...Bofya hapa upate habari zaidi...

EPL: MATOKEO YA MECHI ZA JANA

Saturday, January 11, 2014
StatusHomeScoreAwayVenue
FT Hull City 0-2 Chelsea The KC Stadium (24,924)
FT Cardiff City 0-2 West Ham United Cardiff City Stadium (27,750)
FT Everton 2-0 Norwich City Goodison Park (36,827)
FT Fulham 1-4 Sunderland Craven Cottage (25,564)
FT Southampton 1-0 West Bromwich Albion St. Mary's Stadium (28,610)
FT Tottenham Hotspur 2-0 Crystal Palace White Hart Lane (36,102)
FT Manchester United 2-0 Swansea City Old Trafford (75,035)

Friday, 10 January 2014

CAF: AFRICAN PLAYER OF THE YEAR NI YAYA TOURE


Confederation of African Football (Caf) yamtaja Yaya Toure kuwa mwanasoka bora Afrika. Yaya Toure ambaye anaichezea Manchester City anashinda tena hiyo tuzo kwa mara ya tatu mfululizo sasa...Watu wengine waliowahi kushinda mara tatu mfululizo ni Abedi Pele na Samuel Eto...Yaya pia alishinda Decemba tuzo ya BBC ya mwanasoka bora Afrika...

Thursday, 9 January 2014

SOCCER: JACOB MULENGA ATAKA KUONDOKA UTRECHT


Zambian striker Jacob Mulenga anataka kuondoka Utrecht baada ya hiyo club kushindwa kumlipa...Club ya Utrecht imepata matatizo ya kifedha na inashindwa kumlipa huyo Zambian International pesa zake...Jacob amesema kocha wake anataka abakie hapo kwasababu anaamini ni mchezaji mzuri...Season iliyopita alikuwa mfungaji bora na alikuwa anamabao 14...Timu nyingi zinamtaka ikiwemo Swansea, Wigan, Nottingham Forest na Bolton...

LEAGUE CUP: WEST HAM YABUGIA MAGOLI TENA


West Ham United kwa mara nyingine yachapwa magoli mengi katika kipindi kifupi na kufanya mashabiki wake waanze kumchukua kocha wao Allardyce ...Kipindi hiki ni kichapo kutoka kwa Manchester City cha 6-0...Alvaro Negredo alipata 'hat-trick' na kuifanya Manchester City kupata magoli 59 kati ya mechi 15 za nyumbani..Magoli mengine yalitoka kwa Yaya Toure na Dzeko...Defence ya West Ham haikufua dafu kwa attacking skills za Man City ambazo huwa zinabadilika mara kwa mara...Bofya hapa kwa habari zaidi...

Wednesday, 8 January 2014

GOLF: ZACH JOHNSON ASHINDA HUKO HAWAII


Zach Johnson kutoka Amerika ameshinda shindano la mabingwa wa golf huko Hawaii akiwa na -19 kwenye score card... Hii ni mechi ya tatu kushinda kwenye mashindano 6 aliyocheza Zach...Bofya hapa upate news za Zach...

CAPITAL ONE CUP: MAN U YACHAPWA TENA YASINGIZIA MAREFA


Manchester United yachapwa na Sunderland 2-1 kwenye mechi ya nusu fainali ya Capital One Cup...Manchester wamefululiza kuchapwa na sasa Moyez ameamua kulaumu marefa ili kujiokoa asitoswe kama AVB na wengine...Kila mechi sasa kocha wa zamani Sir. Alex amekuwa akijitokeza kucheki jinsi timu yake ya zamani inavyo chapwa...Watu wengi wanasema kujitokeza kwa Sir. Alex kunamuharibia sana Moyez...Bofya hapa upate habari zaidi.....

EPL: RATIBA YA MECHI ZA WEEKEND IJAYO


Sunday, January 12, 2014
TimeHome AwayVenue
14:05 GMT Newcastle United  v  Manchester City St James' Park
16:10 GMT Stoke City  v  Liverpool Britannia Stadium

Tuesday, 7 January 2014

SOCCER: EUSEBIO AZIKWA SALAMA HUKO PORTUGAL NA MAELFU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA.



Football legend Eusebio amezikwa na maelfu na maelfu ya wapenzi wake na wananchi wa Portugal na dunia nzima huko Portugal...

HISTORY: SIKU KAMA YA LEO KOBE BRYANT ALIWEKA REKODI YA 12 THREE POINTS


2003 Kobe Bryant aliweka rekodi ya NBA ya 12 three point shots kwenye game...Game ambayo Kobe alipata point 45 na Lakers wakashinda hiyo game 119-98 dhidi ya Seattle...Hebu cheki Kobe alivyokuwa balaa hapo juu...

EPL: WALCOTT NJE MIEZI SITA NA NJE WORLDCUP


Theo Walcott atakuwa nje kwa muda wa miezi sita baada ya kuumia goti katika mechi ya FA Cup dhidi ya Tottenham ambayo walishinda 2-0...Kutokana na hali hii forward wa Arsenal atakosa World Cup ya mwaka huu huko Brazil ambayo inaanza June 12...Kutokana na madaktari Theo kaumia 'ruptured anterior cruciate ligament' na mpaka apone kabisa si chini ya meezi sita...Habari hizi ni pigo kubwa sana kwa Arsenal na kwa timu ya taifa ya England...Bofya hapa upate habari zaidi kuhusu Theo...

TENNIS: TSONGA AMCHAPA PANFIL NA KUCHUKUA KOMBE LA HOPMAN


Jo-Wilfried Tsonga akiwa amebeba bendera ya Ufaransa amemchapa Grzegorz Panfil 6-3 3-6 6-3 na kuchukua kombe la Hopman kwa mara ya kwanza huko Perth Australia...Tsonga ambaye ni namba 10 duniani alishinda mchezo wa 'mixed doubles' 6-0 6-2 kwa dakika 47 tu akiwa na Alize Cornet...Bofya hapa upate habari zaidi...

NFL: COLTS YATOKA NYUMA POINTI 29 NA KUSHINDA MECHI DHIDI YA CHIEFS


Watu hawakuamini kilichotokea...mashabiki wa pande zote uwanjani hawakuamini walichoona na pia hawakuamini matokeo ya mwisho ya mechi kali kati ya Colts na Chiefs...Sijui ni bahati au ni juhudi za QB lakini habari ndio hiyo...Kihistoria hii game ni mara ya pili kwa timu kutoka nyuma sana na kushinda...QB alirusha touchdown 4 kipindi cha pili...Half time walikuwa chini 31-10...Takwimu za mchezo kutoka ESPN ziliipa Colts asilimia 3.6 kushinda game...Bofya hapa upate habari zaidi...

Wednesday, 1 January 2014

ATHLETICS: WORLD CHAMP JAPHET KORIR WILL RACE AT ATRIM IAAF CROSS COUNTRY

 
World Cross Country champion from Kenya Japhet Korir will take part at the Atrim IAAF cross country in North America.
 

BOXING: FRANCIS MIYEYUSHO HAS BEATED A KENYAN BOXER BY KO


Tanzania boxer Francic Myeyusho has taken down a Kenyan boxer, Joshua Amakulu, by way of Knockout (KO).

RATIBA: JANUARY AND FEBRUARY FIXTURES FOR MANY SPORTS

JANUARY

3-7: Cricket: Ashes fifth Test, Sydney
5-13: BDO World Darts Championships, Lakeside
4-5: FA Cup third round
7-8 & 21-22: League Cup semi-finals
10-13: Cricket: Women's Ashes Test, Australia v England, Perth
12-19: Snooker: The Masters, Alexandra Palace 

F1: SCHUMACHER'S CONDITION IMPROVES SLIGHTLY


Michael Schumacher's doctors say his condition has improved slightly.