Wednesday 5 October 2016

MOROGORO: SIMBA NA YANGA WAKARIBISHWA JAMHURI STADIUM


Kutokana na kufungiwa kucheza Uwanja wa Taifa Simba na Yanga wanatafuta viwanja vingine na sasa wamekaribishwa Mji kasoro Bahari Morogoro katika Uwanja wa Jamhuri...Timu hizo kubwa zinazocheza kwenye Premier zinaweza kuamua kati ya Uwanja ya Uhuru na Azam Chamazi Complex pamona ja Jamhuri sasa...Timu hizo zimefungiwa kutokana na vurugu zilizotokea Uwanja wa Taifa baada ya mashabiki kutokubaliana na maamuzi ya refa...Viti vilinyofolewa na kurushwa uwanjani huku polisi wa kutuliza ghasia wakitupa mabomu ya machozi.

No comments:

Post a Comment