Thursday 27 October 2016

YOUNG AFRICANS FC: SABABU YA KOCHA PLUIJM KUONDOKA HIZI HAPA


Kocha Hans van der Pluijm ameamua kuachana na Young Africans (Yanga) kutokana na kuletwa kwa kocha wa Zesco, George Lwandamina,  nchini...
Kitendo cha kocha huyo wa Zesco kuwa nchini kimemchukiza kocha Pluijm na kusababisha aandike barua kwa Mwenyekiti Yusuf Manji ya kusepa...



Habari za kocha huyo kutoka Zambia zimeenea sana lakini pande zote zinakanusha tetesi kuwa atakuwa kocha mpya wa Yanga...Kwa upande wa uongozi wa Yanga, Katibu Mkuu Baraka Deusdedit amesema hawana habari kuhusu ujio wa huyo kocha.

No comments:

Post a Comment