Sunday 30 October 2016

VODACOM PREMIER LEAGUE: SIMBA SPORTS CLUB YAMRARUA MWADUI 0-3


Simba Sports Club wanazidi kusonga mbele baada ya kumrarua Mwadui ya Shynyanga 0-3...Simba wanaongoza ligi wakiwa na points 8 mbele ya watani wao wa jadi Young Africans (Yanga)...
Leo Yanga wataingia uwanjani wakipambana na FC Mbao na wakushinda wataponguza points mpaka 5...Midfielder Ibrahim alifunga bao safi kabisa na pia kifaa hatari Kichuya nae alikuwa moto na kujipatia bao lake safi mida ya half-time...Ni bao la 8 kwa Kichyua msimu huu...Simba walianza game kwa makeke sana huku striker Laudit Mavugo akiwasumbua sana Mwadui langoni kwao...Mpaka sasa Simba wameshinda mechi 10 kati ya 12 msimu huu...

No comments:

Post a Comment