Monday 31 October 2016

BOXING: BONDIA THOMAS MASHARI AFARIKI DUNIA


Bondia maarufu Thomas Mashari amefariki dunia...Habari zilizoingia Max Sports bado hazijaeleza vizuri chanzo cha umauti lakini kuna tetesi aipata kipigo na watu wasiojulikana...Mwili wake ulikutwa maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment