Tuesday 11 October 2016

VPL: YOUNG AFRICANS (YANGA) KUTUMIA UWANJA WA UHURU KAMA UWANJA WA NYUMBANI


Vodacom Premier League (VPL) itaendelea kuanzia Jumatano tarehe 12 Oktoba huku Young Africans (Yanga) ikitumia uwanja wa Uhuru kama uwanja wa nyumbai...
Baada ya kupeleka maombi TFF na kukubaliwa uwanja wa Uhuru utatumika na Yanga kama uwanja wa nyumbani baada ya kufungiwa na Serikali kuchezea Uwanja wa Taifa...Serikali pia inamiliki uwanja wa Uhuru...Mechi nyingine za Jumatano ni kati ya Mbeya City na simba katika uwanja wa Sokoine huko Mbeya na pia Majimaji ni wenyeji wa Kagera Sugar katika uwanja wa Majimaji Songea...Azam watakaribishwa na Stand united jijini Shinyanga

No comments:

Post a Comment