Friday 4 September 2015

US OPEN 2015: FEDERER NDANI YA ROUND YA 3



Roger Federer amesonga mbele baada ya kumchapa Steve Darcis wa Ubelgiji 6-1 6-2 6-1...Federer ambae ni number 2 duniani kwenye ranking anaingia round ya 3 bila shida kwenye michuano mikali ya US Open ambayo inafanyika wakati wa jua kali....Wengine waliosonga mbele ni Wawrinka, Halep na Kivtova...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment