Wednesday 9 September 2015

US OPEN 2015: SERENA AMEMFUNGA DADA YAKE VENUS


Serena Williams amefanikiwa kumchapa dada yake mkubwa Venus Williams katika mchuano mkali kwenye mashindo makubwa ya US Open...


Serena alishinda 6-1 1-6 6-3 mechi hiyo ya robo fainali ilikuwa kali sana na sasa karibu Serena anafikisha Grand Slam.



Serena atakutana na mkali wa doubles Roberta Vinci...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment