| Position | Team | Played | GoalDifference | Points |
|---|---|---|---|---|
| 1 | Chelsea | 24 | 33 | 56 |
| 2 | Man City | 24 | 23 | 49 |
| 3 | Southampton | 24 | 21 | 45 |
| 4 | Man Utd | 23 | 17 | 43 |
| 5 | Tottenham | 24 | 6 | 43 |
| 6 | Arsenal | 24 | 18 | 42 |
| 7 | Liverpool | 24 | 6 | 39 |
| 8 | West Ham | 23 | 8 | 36 |
| 9 | Swansea | 24 | -3 | 34 |
| 10 | Stoke | 23 | -2 | 32 |
| 11 | Newcastle | 23 | -6 | 30 |
| 12 | Everton | 24 | -3 | 27 |
| 13 | Crystal Palace | 24 | -8 | 26 |
| 14 | Sunderland | 24 | -12 | 24 |
| 15 | West Brom | 23 | -12 | 22 |
| 16 | Aston Villa | 24 | -20 | 22 |
| 17 | Hull | 24 | -13 | 20 |
| 18 | Burnley | 23 | -17 | 20 |
| 19 | QPR | 24 | -19 | 19 |
| 20 | Leicester | 24 | -17 | 17 |
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎
Sunday, 8 February 2015
EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA
Friday, 6 February 2015
SNOOKER: AKBERALI NA YUSUFALI WAINGIA NUSU FAINALI
Mug ya mwezi wa January ambao imedhaminiwa na Joseph Tango katika ukumbi wa snooker Dar es Salaam Gymkhana Club umepata upinzani mkali sana...Wachezaji wawili tayari wameingia nusu fainali ya michuano hiyo mikali uande wa Division A...Akil Akberali na Akhil Yusufli wamepambana sana robo fainali na wainzani wao na hatimae kuinga nusu fainali...Akberali alimchapa Abbas Yusufali ambae ni kati ya wachizaji wakali wa snooker Gymkhana Club 2-1...Bofya hapa upate habari zaidi.
AFCON 2015: FUJO ZA MASHABIKI ZATANDA NUSU FAINALI
Mechi kati ya Ghana na wenyeji Equatorial Guinea huko Malabo ilisimamishwa kwa takriban dakika 30 kutokana na fujo kutoka kwa mashabiki wa Equatorial Guinea na kulazimu polisi waingilie kati kutuliza ghasia...
Ilikuwa patashika kwani mashabiki wa Ghana ilibidi wajichimbie kutokana na vitu na vyupa ambavyo walikuwa wanarushiwa...
Ghana ilimaliza mchezo na ushindi wa mabao 3-0 na bao la kwanza alipachika Jordan Ayew baada ya Kwesi Appiah kufanyiwa foul na kipa Felipe Ovono...Bao la 2 lilitokana na counter attack na Mubarak Wakaso hakufanya kosa...
Mwishoni mwa kipindi cha 2 fujo zilishaanza na Ghana ilibidi watolewe nje na kikosi chakuzuia fujo....Bao la 3 kutoka kwa Andre Ayew dakika ya 75 ndio mambo yakaharibika kabisa na mashabiki wa Ghana ilibidi wajifiche kwenye goli...
Tabia hizi za kipumbavu sana zinaharibu sifa ya mpira wa Afrika na zinaleta sura mbaya duniani na inabidi zikemewe sana...Tusubiri tamko la Caf kuhusu vurugu hizi...Ghana watacheza fainali na Ivory Coast...Bofya hapa upate habari zaidi.
Thursday, 5 February 2015
AFCON 2015: TUNISIA HATIANI KUFUNGIWA
VPL: YANGA YAONGOZA LIGI
Yanga imemtoa Azam kileleni na kushika uskani baada ya kumchapa Coastal Union 1-0...Mechi ilikuwa kali sana na pande zote zilionesha makeke sana ndani ya uwanja wa Mkwakwani Tanga...Nadir Haroub ndie aliyefanikiwa kufunga bao pekee dakika ya 11...Bofya hapa upate habari zaidi.
AFCON 2015: IVORY COAST YAINGIA FAINALI
Ivory Coast imefanikiwa kuingia fainali ya michuano mikubwa sana Afrika ya Afcon kwa mara ya 3 sasa baada ya kuichapa timu ya DR Congo 3-1...Yaya Toure alianza kufungulia mabao baada ya kupachika bao la mbali la yadi 20 lakini baada ya muda mfupi Congo walisawazisha kupitia Dieumerci Mbokani dakika ya 24...
Wengine waliofunga ni Gervinho dakika ya 41 na Wilfred Kanon dakika ya 68...Ivory Coast walicheza mpira safi sana na Congo walikuwa wamezidiwa kidogo pia Gervinho alikuwa kinara wa kuwasumbua Congo na alikosa nasasi kibao a kupachika magoli...Bofya hapa upate habari zaidi.
EPL: CHUBA AKPOM AKUBALI KUBAKI EMIRATES
Chuba Akpom amekubali kubaki Arsenal kwa kusaini mkataba mpya ambao utamweka Emirates miaka 4 na nusu... Burussia Dortmund, Feyenoord, Red Bull Salzburg na Liverpool wote walikuwa wanamtolea macho huyu dogo mwenye umri wa miaka 19 lakini kawapiga chini na Wenger amefurahi Akpom ameamua kubaki Emirates...Bofya hapa upate habari zaidi.
FA CUP: LIVERPOOL YAICHAPA BOLTON
Liverpool sasa watakutana na Crystal Palace kwenye round ya 5 ya FA Cup...Bofya hapa upate habari zaidi.
Wednesday, 4 February 2015
FA CUP: MANCHESTER UNITED NDANI YA ROUND YA 5
Manchester United imefanikiwa kuingia round ya 5 ya michuano ya FA Cup baada ya kuichapa Cambridge United 3-0.
Tuesday, 3 February 2015
F1: SIKU YA 3 YA TESTING HUKO JEREZ
Siku ya 2 ya kupima magari mapya ya Formula One huko Jerez Spain tulion ajinsi Sebastian Vettel alivyoweza kumaliza kwa muda mfupi zaidi kuliko wengine na leo ni siku ya 3 ya upimaji wa magari...Leo timu 8 zitaendesha magari yao na madereva hao ni Rosberg (Mercedes), Ricciardo (Red Bull), Massa (Williams), Raikkonen (Ferrari), Alonzo (McLaren), Sainz Jr. (Toro Rosso), Grosjean (Lotus) na Ericsson (Sauber)...Bofya hapa upate habari zaidi.
BOXING:FRANSIS CHEKA JELA MIAKA 3
CHAMPIONSHIP: READING WAISHANGAZA LIGI BAADA YA KUMRUDISHA YAKUBU UK
Reading F.C. wameamua veteran Yakubu Aiyegbeni anaweza kuisaidia timu ifanye vizuri...Yakubu aliondoka ligi za Uingereza miaka 3 ilipita na akachezea timu ya Guangzhou na badae akaenda Qatar kuichezea timu ya Al Rayyan...Nigerian international amewahi kuzichezea timu za Portsmouth, Everton na Blackburn...Amecheza mechi za premiership 250 na alifanikiwa kufunga magoli 96...Bofya hapa upate habari zaidi.
EPL: PHILIPPE COUTINHO KUBAKI LIVERPOOL MPAKA 2020
Brazilian international Philippe Coutinho ambae anacheza nafasi ya midfield amesaini mkataba mpya ambao utamweka the Kop mpaka mwaka 2020...Coutinho alitokea Inter Milan miaka miwili iliyopita katika dirisha dogo la usajili la January na kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amesema Coutinho anaweza kuwa mchezaji bora duniani...Bofya hapa upate habari zaidi.
EPL: DIRISHA LA UAJILI LAFUNGWA NA JUAN CUADRADO NDANI YA CHELSEA
Msimu mdogo wa usajili umeisha na Chelsea wamemnyakua Colombian international winga Juan Cuadrado kwa pounds milioni 23.3...Huyu dogo alikuwa anatafutwa sana na timu kubwa za Arsenal na Manchester United...Crystal Palace walifanikiwa kuchukua wachezaji wa 4 akiwemo Wilfred Zaha...Hull City wamemvuta stiker wa Lokomotiv Moscow Dame N'Doye...Manchester United wamasajili beki Andy Kellett kutoka Bolton kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu...Timu 3 Arsenal, Manchester City na Chelsea ndio waliotumia pesa nyingi sana ambayo ni asilimia 50 ya pesa yote ya kusajili wachezaji premier league...Bofya hapa upate habari zaidi.
Monday, 2 February 2015
SUPER BOWL XLIX: NEW ENGLAND PATRIOTS MABINGWA
New England Patriots Mabingwa wa NFL baada ya kuwachapa Seattle Seahawks 28-24...Game ilikuwa ya Seahawks lakini walichemsha play moja mwishoni na mpira ukawa intercepted na Michael Butler...
Tom Brady amekuwa MVP wa mchezo huo ambao umeangaliwa na watu wengi sana dunini...
Patriots imeweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza kushinda Super Bowl baada ya kuwa chini points nyingi kipindi cha 2...Bofya hapa upate habari zaidi.
AFCON 2015: IVORY COAST YAFANYA KWELI YAINGIA NUSU FAINALI
Ivory Coast imemchapa Algeria 3-1 katika mechi kali na ya kusisimua ya robo fainali...Ivory Coast sasa wanaingia nusu fainali bila shida ila inabidi waimarishe defence yao maana ilikuwa inayumba pande zote...Wilfred Bony mchezaji wa bei mbaya kupita wote Africa na striker wa Manchester City alipachika mabao 2 na Gervinho alipachika bao la mwisho dakika za mwisho...
Bao la kwanza la Bony la kichwa ililitokana na cross kutoka kutoka winga ya upande wa kulia na Max Gradel ndie aliingiza hiyo cross...Bofya hapa upate habari zaidi.
Bao la kwanza la Bony la kichwa ililitokana na cross kutoka kutoka winga ya upande wa kulia na Max Gradel ndie aliingiza hiyo cross...Bofya hapa upate habari zaidi.
Sunday, 1 February 2015
AFCON 2015: TUNISIA YATUPWA NJE KWA MIZENGWE YA REFA
![]() |
| Wachezaji wa Equatorial Guinea wakishangilia ushindi... |
![]() |
| Refa kilindwa asile kichao kutoka kwa wachezaji wa Tunisia... |
SERIE A: ROMA YAMNYAKUA DOUAMBIA
Roma wamemnyakua Seydou Doumbia kutoka CSKA Moscow...Kifaa hicho mbacho kinatokea Ivory Coast kiliingia CSKA mwala 2010 na kufanikiwa kupata mabao 84 katika mechi 130...Sasa Doumbia yuko anaichezea timu yake ya Ivory Coast kwenye michuano ya Afcon...Bofya hapa upate habari zaidi.
EPL: CHELSEA NA MAN CITY DRAW
Chelsea na Manchester City wametoka sare kwa bao 1-1 katika game ambayo ilioekana kama ingebadilisha matokeo ya msimamo wa ligi....Chelsea walianza kufunga kupitia Loic Remy dakika ya 41 na baada ya mud si mrefi Man City wakajibu kupitia Silva dakika ya 45 kutokana na kosa la kipa Thibaut Courtois ambalo si kawaida yake...Jose badae alimtoa mfungaji Remy na kuingiza beki Gary Cahill kwa kuwa aliridhika na hiyo point 1...Chelsea bado wanaongoza ligi wakiwa na point 5 mbele...Bofya hapa upate habari zaidi.
EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA
| Position | Team | Played | GoalDifference | Points |
|---|---|---|---|---|
| No movement1 | Chelsea | 23 | 32 | 53 |
| No movement2 | Man City | 23 | 23 | 48 |
| Moving up3 | Man Utd | 23 | 17 | 43 |
| Moving down4 | Southampton | 22 | 21 | 42 |
| Moving up5 | Tottenham | 23 | 5 | 40 |
| Moving down6 | Arsenal | 22 | 14 | 39 |
| Moving up7 | Liverpool | 23 | 6 | 38 |
| Moving down8 | West Ham | 23 | 8 | 36 |
| Moving up9 | Stoke | 23 | -2 | 32 |
| Moving down10 | Swansea | 22 | -4 | 30 |
| No movement11 | Newcastle | 23 | -6 | 30 |
| No movement12 | Everton | 23 | -3 | 26 |
| No movement13 | Crystal Palace | 23 | -9 | 23 |
| Moving up14 | Sunderland | 23 | -12 | 23 |
| Moving down15 | West Brom | 23 | -12 | 22 |
| Moving down16 | Aston Villa | 22 | -14 | 22 |
| No movement17 | Burnley | 23 | -17 | 20 |
| No movement18 | Hull | 23 | -13 | 19 |
| No movement19 | QPR | 23 | -18 | 19 |
| No movement20 | Leicester | 23 | -16 | 17 |
Subscribe to:
Posts (Atom)












.jpg)














