Monday 18 September 2017

VODACOM PREMIER LEAGUE: SIMBA SPORTS YAIRARUA MWADUI FC


Simba Sports Club imeichapa Mwadui FC mabao 3-0 ndani ya Uwanja wa Uhuru...
Simba ilionyesha uwezo wa hali ya juu na kukosa nafasi lukuki...

Vijana wa Msimbazi sasa wako nafasi ya 2 chini ya Mtibwa Sugar wenye pointi 9...

Mtibwa mpaka sasa wameshinda mechi zao zote toka msimu uanze...

Okwi alifanikiwa kuwika tena katika game hiyo na kujipatia bao mnamo dakika ya 7 na badae bao lingine dakika ya 67 ambapo sasa anamabao 6 jumla...

Okwi yuko mbioni kufukuzia 'Golden Boot'...

Simba walikuwa bize sana wakusumbua beki ya Mwadui na badae John Bocco alifanikiwa kuwachapa Mwadui bao la 3 dakika ya 72 na ushee hivi...

Bocco alijipatia bao lake la kwanza msimu huu...Watani wa Jadi Young Africans almaarufu kama Yanga wako nyuma ya Simba kwa pointi 2.

No comments:

Post a Comment