Thursday 3 November 2016

VODACOM PREMIER LEAGUE: KICHUYA AWAZAMISHA STAND UNITED


Bao pekee la mchezo wa Simba Sports Club na timu ngumu msimu huu Stand United lilitoka kwa mkali wa Simba Kichuya kipindi cha kwanza...Shiza Ramadhani Kichuya alifunga bao la tuta kwenye dakika ya 33 baada ya Laudit Mavugo kufanyiwa ndivyo sivyo na Adeyum Ahmed ndani ya box...Bao hilo liliwapa Simba ushindi ambao unaipaisha mpaka pointi 35 katima mechi 13 huku Stand united wakiwa na pointi 22 na machi 14...Timu zote zilicheza vizuri kabisa ila simba walikuwa imara zaidi.

No comments:

Post a Comment