Wednesday 24 January 2018

MWADUI FC: KOCHA MSAIDIZI MWADUI FC AFARIKI BAADA YA KUANGUKA BAFUNI


Mwadui FC imepata msiba mkubwa baada ya kocha msaidizi kufariki dunua baada ya kuanguka bafuni Mwadui Mkoani Shinyanga...Jumanne Ntambi alikuwa anasumbuliwa na matatizo ya shinikizo la damu na alienda hospitali akapata matibabu na badae akaambiwa arudi nyumbani apumzike. 

Ntabi pia kesho yake alitembelea timu yake uwanjani Mwadui Complex kumbe alipita kuwaaga wenzake. 

Mwadui FC bado hawajato tamko rasmi juu ya taratibu za mazishi lakini tuendelee kumwombea dua kosha Ntambi. 

Pumzika kwa amani Ntambi.

No comments:

Post a Comment