Friday 8 November 2013

REMY CABELLA DAU LAKE NI MILIONI 17 EUROS



Remy Cabella, 23, ni kijana anayetokea timu ya Montpellier Ufaransa. Kijana huyu ambaye ni attacking midfielder anakipaji cha hali ya juu katika ligi ya Ufaransa...

Kuna tetesi timu ya Manchester United wanamtaka huyu kijana...Rais wa Montpellier, Louis Nicollin, amesema kama United wanamtaska walete millioni 17 euros alafu tutaona...

Pia kocha wa Montpellier alisema wakipewa milioni 18 watamuachia hata kama timu itakuwa taabani...

Kwa habari zaidi bonya hapa 
 

No comments:

Post a Comment