Thursday 14 November 2013

NBA: DIRK NOWITZKI AMPITA JERRY WESTKWENYE UFUNGAJI MAGOLI MENGI


Dirk Nowitzki amempita nkongwe kwenye mpira wa kikapu, Jerry West, na kuchukua nafasi ya 16 kwenye list ya wafunga magoli mengi kwenye NBA...Ana pointi 25,194 pointi mbili zaidi ya West...

Mkongwe mwingine kwenye list ni Reggie Miller ambaye ana pointi 25,279 anachukua nafasi ya 15...

No comments:

Post a Comment