Tuesday 14 November 2017

MBWANA SAMATTA: NAHODHA WA TAIFA STARS ANAENDELEA VIZURI BAADA YA OPERATION


Mbwana Samatta ambae ni nahodha wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, na timu ya ligi kuu ya Ubelgiji ya KRC Genk anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa upasuaji...
Samatta amesema anashukuru Mungu, timu ya wauguzi na mashabiki. 

Amepata salaam nyingi sana za heri kutoka watu mbali mbali na ameshukuru sana kwenye ukurasa wake wa Twitter. 

Samatta aliumia goti kwenye mchezo dhidi ya Lokeren kwenye ligi kuu ya Ugelgiji. 

Alikosa mechi kati ya Taifa Stars na Benin kutokana na kuwa majeruhi...Pona salama Mbwana Samatta, tunakuhitaji sana.

No comments:

Post a Comment