Monday, 29 May 2017

SIMBA SPORTS CLUB: HAJI MANARA AWATEMBELEA MASHABIKI MAJERUHI


Haji Manara alipata nafasi ya kkuwatembelea majeruhi na kuwajulia hali...
Pamoja na wadaue wing waliopata nfasi ya kutoa pole kwa majeruhi alikuwepo pia mda wa Simba Musley Ruwey...

Mwili wa shabiki aliyepoteza maisha kwenye ajali ya gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 umeshaletwa Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi...

Marehemu Shose Fidelis alifariki kwenye ajali hiyo maeneo ya Dumila ambapo tairi la nyuma lilipasuka na kufanya gai ikose mwelekeo...


Kwenye gari hili alikuwepo nahodha Simba Jonas Mkude...Mkude kwa sasa hali yake inaendelea vizuri...

Dereva aliyekuwa akiendesha hilo gari alijulikana kwa jina la Rais wa Kibamba bado yuko chini ya uangalizi wa polisi.