Monday, 1 May 2017

SERENGETI BOYS: TIMU YA TAIFA YA VIJANA YAWALAZA CAMEROON 1-0


Timu ya Taifa ya ya vijana wamefamikiwa kuwachapa Cameroon 1-0 ndani ya uwanja wa Ahmadou Ahijo jijini Yaounde...

Serengeti boys wanaendeleza wimbi lao la ushindi huku wakijiweka sawa kwa michuano ya vijana ya Afrika huko Gabon...

Bao hilo pekee la Serengeti Boys lilifungwa na Ally N'gazi na lilishuhudiwa na mcheaji maarufu sana Afrika Roger Miller...

Serengeti Boys walikuwa Morocco ambako waliweka kambi kwa muda wa mwezi 1...Huko Morocco walicheza na Gabona na kuwalaza 2-1 mechi zote 2...S

erengeti Boys watarudiana na Cameroon tarehe 3 Mei kabla ya kusepa Mei 7 kwenda Gabon...

Serengeti wako kundi B ambalo lina timu za Mali, Niger na Angola.