Friday, 12 May 2017

VPL: SIMBA KILELENI TENA BAADA YA KUILAZA STAND UNITED 2-1


Simba Sports Club imerejea tena kileleni baada ya kuichapa Stand United ya Shinyanga  mabao 2-1...


Yanga itaingia uwanjani na Mbeya City kesho kamikaze Uwanjani wa Taifa...Mabao yote yalitoka kwa Luizio...

Mshambuliaji Juma Luizio ambae yuko kwa mkopo kutoka Zesco United alisawazisha dakika ya 23 na badae alipachika bao safi dakika ya 35.