Thursday 22 December 2016

YOUNG AFRICANS FC: MGOMO NDANI YA CLUB KUNUFAISHA TIMU ZINGINE


Mgomo ulioanza Jumatatu utazipa timu nyingine nafasi ya kuipita Young Africans (Yanga) . . .
Mgomo huo madhumuni yake ni juu ya mishahara ya wachezaji. . . Kocha George Lwandamina ameendelea na mazoezi lakini wachezaji wachache wamejitokeza. . . Yanga inatakiwa kucheza mechi ya 2 ya mzunguko wa 2 wa ligi kuu dhidi ya African Lyon. 

No comments:

Post a Comment