Friday 9 December 2016

TANZANIA FOOTBALL FEDERATION: SAKATA LA HASSAN KESSY YOUNG AFRICANS (YANGA) YAAMBIWA IWALIPE SIMBA 50 MILIONI


TFF imetoa maelekezo kwa timu ya Young Africans kuilipa Simba Sports Club kutokana na sakata la uhamisho wa mchezaji Hassan Hamis Ramadhan au Hassan Kessy...
Kisa ni Young Africans (Yanga) kupeleka jina la mchezaji CAF wakati kasajiliwa na timu nyingine...Kwa mujibu wa kanuni za ligi...Young Africans imeambiwa iwalipe fidia Simba ya 50 milioni na 3 milioni kama faini ya kosa hilo...Afisa wa TFF aliyehusika na sakata hili nae atachukuliwa hatua stahiki.

No comments:

Post a Comment