Thursday 29 December 2016

VODACOM PEMIER LEAGUE: SIMBA YASONGA MBELE BAADA YA KUILAZA RUVU


Kweli ligi ya VPL inaushindani wa kweli na ni ligi ngumu sana kwani timu zina viwango vya juu. . . Kwa mantiki hii leo Simba imefanikiwa kuwalaza Ruvu kwa bao 1 tu na kuchukua point 3 muhimu. . .
Bao lilitoka kwa Mohammed 'MO' Ibrahim. . .'MO', alichukuliwa kutoka Mtibwa msimu huu...


Wana wa Msimbazi sasa wana pointi 44 kati ya mechi 18...Watani wa jadi Young Africans au Yanga wako nyuma kwa pointi 4.

No comments:

Post a Comment