Simba Sports Club yapata CEO mpya...
Senzo Mazingiza anachukua nafasi ya Crescentius Magori.
Mazingiza ametoka kwenye timu kubwa huko Africa ya Kusini ya Orlando Pirates.
Alikuwa ni Administrative Officer wa Orlando Pirates.
Kabla ya hapo alikuwa Mtendaji Mkuu wa Platinum Stars.
Pia amefanya kazi na Bay United pamoja na Chuo Kikuu cha Pretoria. "Simba ni timu kubwa sana," alisema Senzo. "
No comments:
Post a Comment