Wednesday, 18 February 2015

CRICKET WORLD CUP 2015: MSIMAMO WA MASHINDANO MPAKA SASA

Pool A

Team
Played
Won
Lost
N/R
R/R
Points
1
New Zealand
2
2
0
0
+2.62
4
2
Australia
1
1
0
0
+2.22
2
3
Afghanistan
0
0
0
0
0
0
4
Bangladesh
0
0
0
0
0
0
5
Sri Lanka
1
0
1
0
-1.96
0
6
England
1
0
1
0
-2.22
0
7
Scotland
1
0
1
0
-3.04
0

Pool B

Team
Played
Won
Lost
N/R
R/R
Points
1
India
1
1
0
0
+1.52
2
2
South Africa
1
1
0
0
+1.24
2
3
Ireland
1
1
0
0
0.62
2
4
West Indies
1
0
1
0
-0.62
0
5
UAE
0
0
0
0
0
0
6
Zimbabwe
1
0
1
0
-1.24
0
7
Pakistan
1
0
1
0
-1.52
0

ICC CRICKET AFRICA U-19: TANZANIA BEATS BOTSWANA


Tanzania has for the first time won ICC Africa U-19 World Cup Division 1.

CHAMPIONS LEAGUE: MATOKEO YA MECHI ZA JANA

TUE 17 FEB 2015 - CHAMPIONS LEAGUE

CHAMPIONS LEAGUE: CHELSEA YAPONEA KWA KUPAKI BASI


Chelsea FC jana ilifanikiwa wa kupata goli la 'away' baada ya kutoka sare na PSG 1-1...Chelsea walipata bao dakika ya 36 kupitia kichwa cha Branislav Ivanovic bao ambao lilisababishwana na cross ya John Terry...PSG walishambulia sana kipindi cha 2 na kufankiwa kupata bao walilostahili kupitia Edison Cavani dakika ya 54...PSG ilikuwa washinde kupitia kwa huyo huyo Cavani ambaye lipiga pembeni baada ya kucheza pasi safi na Blaise Matuidi...Bofya hapa upate habari zaidi.

Tuesday, 17 February 2015

CHAMPIONS LEAGUE: RATIBA YA LEO USIKU (GMT)

FA CUP: MANCHESTER UNITED TIA MAJI TIA MAJI YAKIMBIZWA NA PRESTON


Katika mechi ambayo Manchester United walitakiwa kufanya kweli ni hiyo mechi dhidi ya Preston North End lakini walionekana wakicheza chini ya kiwago sana na kubadatisha ushindi kutoka nyuma wa 3-1...van Gaal amemshukuru sana Fellaini kwa kuwasaidia wasiumbuke na ni bao la 4 la Fellaini msimu huu...Kocha van Gal anafukuzia kombe lake la kwanza toka aichukue Man United...Man watakutana na Arsenal huko mbele...Bofya hapa upate habari zaidi.

Monday, 16 February 2015

CAF CHAMPIONS LEAGUE: AZAM YAIPELEKA SHULE EL-MERREIKH


Katika uwanja wa Azam Complex huko Chamazi El-Merreikh wamepelekwa shule na Azam FC kwenye mechi ya club bingwa za Afrika ...Mechi hii ya awali imewaweka Azam mbele kwa mabao 2-0 na sasa inabidi walinde nafasi hii wasifungwe mechi ya marudiano zaidi ya bao 3...Wafungaji Azam walikuwa Didier Kavumbagu na substitute John Bocco...Bofya hapa uate habari zaidi.

NBA ALL-STAR: ZACH LAVINE AFANYA KWELI MASHINANO YA SLAM DUNK


Dogo Zach LaVine ambae ni rookie wa Minnesota Timberwolfs amejipatia jina kwenye mashindano ya Slam Dunk ambayo yalikuwa hayana majina makubwa...Dogo alipiga dunk hatari sana ya kupitisha mpira katikati ya miguu na kupiga dunk kali ambayo Michael Jordan aliipiga miaka ya nyuma ila dogo alienda juu zaidi...LaVine mwenye umri wa miaka 19 alivaa namba 23 mgongoni akimuenzi Michael Jordan...Bofya hapa upate habari zaidi.


Sunday, 15 February 2015

NBA ALL-STAR: STEPHEN CURRY AWASHANGAZA MASHABIKI


Kwa mara ya kwanza Stephen Curry ameshinda shindano la 3 points katika michuano ya wakali wa wakali wa NBA All-Star jijini New York...Curry alipata points 27 round ya mwsho na alifunga baskets 13 mfululizo kabla ya kukosa shot yake ya mwisho na kuamsha mashabiki kibao kwenye ukumbi wa Barclay's Center kwa kushangilia sana...


Curry aliwakumbuka vijana wa 3 waliouwawa jijini North Carolina kwa kuandika jina la mmoja wao kwenye kiatu chake...Bofya hapa upate habari zaidi.


EPL: ANDY CARROLL NJE MSIMU ULIOBAIKIA


West Ham watampoteza striker wao Andy Carroll kwa msimu mzima uliobakia...Carroll tafanyiwa upasuaji wa goti la kushoto ambapo aliumia katika game dhidi ya Southampton ambayo walitoka 0-0...Katika game hiyo Carroll alilazimika kubaki uwanjani akiwa na maumivu kutokana na timu yake kubakia 10 na walikuwa tayari wameshafanya substitution 3...Bofya hapa upate habari zaidi

Friday, 13 February 2015

EPL: HAZARD KUBAKI CHELSEA


Belgian International Eden Hazard amesaini mkataba mpya ambao utamweka darajani kwa miaka mitano na nusu ijayo...Hazard alinyakuliwa kutoka club ya Ufaransa ya Lille kwa milioni 32 pounds mwaka 2012...Hazard akiwa na Chelsea amefunga mabao 43 katika games 147 alizocheza...Bofya hapa upate habari zaidi.

EPL: KIPATO CHA MANCHESTER UNITED CHA PUNGUA 14%

Manager van Gaal akiwa na CEO wa Man U
Ed Wooodward
Habari zilizotolewa na club hiyo zinasema kipato kimepungua kwa asilimia 14 na pia wana deni la milioni 380.5 pounds...Kutokana na Manchester kuwa timu kubwa na tajiri, kushuka kwa kipato hicho hakutaisumbua timu kwani boss Ed Woodword amesema issue za tv rights ambazo zimetangazwa zitawaingizia kipato zaidi kwa asilimia 70...Bofya hapa upate habari zaidi

Thursday, 12 February 2015

EPL: PAUL LAMBERT AFUKUZWA ASTON VILLA


Kutokana na kutofanya vizuri kwa timu ya Aston Villa uongozi wa Villa umeamua kumfukuza kazi kocha Paul Lambert...Villa walichapwa na Hull 2-0 ambao wote wako chini kwenye msimamo wa ligi na hii ni mechi ya 10 bila ushindi...


Villa wameweka historia ya kuwa na magoli machache sana katika mechi 25...Villa wana magoli 12 tu na mashabiki walikuwa wameshachoka Lambert...Bofya hapa upate habari zaidi.

Wednesday, 11 February 2015

EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No movement1Chelsea243356
No movement2Man City242349
No movement3Southampton242145
Moving up4Arsenal251945
Moving down5Man Utd241744
Moving down6Tottenham25543
No movement7Liverpool25742
No movement8West Ham24837
No movement9Swansea24-334
No movement10Stoke24-233
No movement11Newcastle24-631
No movement12Everton24-327
No movement13Crystal Palace24-826
No movement14Sunderland25-1424
Moving up15Hull25-1123
Moving down16West Brom24-1223
Moving up17QPR25-1722
Moving down18Aston Villa25-2222
Moving down19Burnley24-1721
No movement20Leicester25-1817

Sunday, 8 February 2015

AFCON 2015: DR CONGO MSHINDI WA 3


DR Congo majirani zetu wamefanikiwa kuchukua nafasi ya 3 kwenye mashindano ya kombe la Afcon...Congo waliingia uwanjani na wenyeji Equatorial Guinea na kutoka sare 0-0 na hatimaye kuingia kwenye matuta na kushinda 4-2...Kulikuwa hakuna fujo kwani mechi iliyopita tuliona fujo ambazo ziliipa jina baya sana Guinea kwani mashabiki wakikuwa wanatupa vitu ovyo na kufanya vurugu...Guinea walipigwa faini na Caf ya pound 65,000 kutokana na vurugu hizo...Bofya hapa upate habari zaidi.